Jukwaa la kwanza la ununuzi wa pamoja Tanzania

Nunua Pamoja. Okoa Zaidi.

Tuambie unachopanga kununua. Watu zaidi wakihitaji bidhaa iyo hiyo, banabei inajadili bei nafuu moja kwa moja na wauzaji.

SarujiSolarSimu
Hakuna malipo leoJiandikisha chini ya sekunde 30Tusaidie kupata bei nafuu kwa wote

Jiandikisha

Tuambie unachopanga kununua ili tusaidie kupata bei nafuu.

1.Tunatumia nambari yako kukutaarifu kuhusu bei na vikundi. Hatutaiuza au kuitumia kwa spam.

2.Deposit itaombwa tu tukishapata bei bora, na itakuwa ndogo na inayorejeshwa.

Hakuna malipo yanayohitajika. Taarifa zako zinatusaidia kupima mahitaji na kujadili bei nafuu.

Tunatumia nambari yako kukutaarifu kuhusu bei na vikundi. Hatutaiuza au kuitumia kwa spam.

Inavyofanya kazi banabei

Tunakusaidia kuokoa kwa kuchanganya nguvu ya ununuzi na wengine.

📝
1

Tuambie unachotaka

Jaza fomu kwa bidhaa unayopanga kununua, mji wako, na bajeti yako. Inachukua chini ya sekunde 30.

📊
2

Tunahesabu mahitaji

Tunafuatilia watu wangapi wanahitaji bidhaa iyo hiyo katika eneo lako. Wanunuzi wakitosha, tunawasiliana na wauzaji.

🤝
3

Tunajadili kwa niaba yako

Kwa nguvu ya kundi, tunajadili punguzo la jumla moja kwa moja na wauzaji na kukupatia akiba.

💰
4

Unaokoa pesa

Mara tu mpaka ukikamilika, unalipa bei iliyopunguzwa. Kundi likiwa kubwa, akiba yako inakuwa kubwa zaidi.

Kwa nini ujiunge na banabei?

Mahitaji yako yanatusaidia kujadili bei nafuu kwa ajili ya wote.

Hakuna Hatari

Hakuna ahadi leo. Tunauliza tu unachopanga kununua ili tupime mahitaji na kujadili kwa niaba yako.

Bei Nafuu

Watu wengi wakihitaji bidhaa iyo hiyo, ndivyo tunavyo nguvu zaidi kwa wauzaji. Mahitaji yako yanaongoza moja kwa moja kwa bei nafuu.

Nchi Nzima

Tunaunda vikundi Tanzania nzima. Ukiwa Dar, Mwanza, Arusha au popote, tunakutaka.

Jamii

Tunakujulisha kila hatua. Jiunge na kikundi chetu cha WhatsApp kuona mahitaji yakiongezeka na mikataba ikifanyika.

Jiunge na Kikundi Chetu cha WhatsApp

Ungana na wanunuzi wengine, pata taarifa za bei za kikundi, na kuwa wa kwanza kujua tunapoanzisha bidhaa mpya.

Uliza maswali moja kwa moja

Ona ukubwa wa kundi na bei zikishuka

Kuwa sehemu ya mageuzi ya ununuzi Tanzania

Jiunge

Tayari Kuokoa?

Jiunge na mamia ya Watanzania waliojiandikisha. Watu wengi wakihitaji bidhaa iyo hiyo, bei inakuwa nafuu zaidi.

Jiandikisha